Taarifa kwa Umma
Habari ya Leo,
Natumai kila mmoja anaendelea na hekaheka za kujenga taifa, naomba niwafahamishe kuwa Siku ya Jumamosi tarehe 7/12/2019 kutakuwa na Uzinduzi wa Kampeni ya Abiria PAZA SAUTI itakayofanyika Stendi kuu ya Mkoa Kange, ukiwa kama mwanahabari na familia ya Mabalozi wa Usalama Barabarani unaalikwa kwenye tukio hilo litakaloanza Saa 11:30 Alfajiri na kuendelea.
Siku hii itahusisha matukio ya Uelimishaji watumiaji wa Barabara juu masuala ya Usalama wao wawapo Barabarani, kubandika stika zenye ujumbe wa Usalama Barabarani na kutoa vipeperushi vinavyoelezea haki na wajibu wa Abiria ndani ya chombo Cha usafiri.
Ni matumaini yangu kuwa utashiriki kwenye tukio hili.
Nikutakie kazi Njema.
Kwa mawasiliano na maelezo ya ziada piga 0713357131
Usalama Barabarani Ni Jukumu Letu Sote
Mwakimwagile, E. H.
Mwenyekiti RSA Mkoa wa Tanga

Aksante
ReplyDelete